Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

wakuu nauza hiyo simu,meitumia for six months,ipo kwenye hali nzuri,ina internet,bluetooth,ni double line na ina redio....plus QWERTY keyboard..naiuza kwa sababu nataka kubadili simu ,bei...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Simu iko poa haina tatizo, ila haina kifuniko cha kwnye betri lakin ina cover. call:0656063933
0 Reactions
5 Replies
1K Views
i need a reggae and dancehall songwriter for my clients. PM me if interested.
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Music producer anatafuta studio. studio iwe imekamilika kwa vifaa, na mmiliki awe ni mtu anayejua maana ya muziki.. producer amekwisha fanya kazi na wasanii kama vile Alikiba na PNC na wengine...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nina nyumba nyakato temeke, mita 200 tu toka barabara ya mwz-musoma,ina vyumba 3 kimoja self contained, ina fance ya ukuta, sebure kubwa, dinning, nje pana servant quota chumba na choo/bafu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAMBO VP WAKUU NAHITAJI HIYO AC ALIYOKUWA NAYO AU ANAYEJUWA NAPOWEZA KUPATA ANIJULISHE KWA CALL 0715-388666 AU NI PM AU NI EMAIL : mohdnass3@gmail.com SHUKRAN!
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Godauni ya mazao inauzwa ina uwezo wa kuhifadhi tani 500 za mazao na ina mashine kubwa mbili ndani za kukoboa mpunga zenye uwezo wa kukoboa tani 50 kwa siku. Liko barabarani pembeni ya stendi kuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
iPad first , second and third generation used zinauzwa. 1. iPad firt generation @Tsh 480,000 /= 2. iPad second generation @Tsh 750,000 /= 3. iPad third generation @Tsh 900,000. Mawasiliano...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jf nauza iphone ambayo nimeinunua mpya dubai risiti ninayo nimeitumia wiki mbili tu na hata tukiuziana mahakamani ni sawa tu, condition yake bado ni mpya na haina hata mchubuko hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi nauza nyuma iliyopo tabata segerea, karibu na kota za nssf. Nyumba ni ya kisasa, ina vyumba vitatu ikiwemo materbedroom kubwa sana, sitting room kubwa, dining room, kitchen...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu nina nyumba nyakato temeke, mita 200 tu toka barabara ya mwz-musoma,ina vyumba 3 kimoja self contained, ina fance ya ukuta, sebure kubwa, dinning, nje pana servant quota chumba na choo/bafu...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Engine ya SUZUKI ESCUDO na gearbox yake vinauzwa, niliagiza toka Japan, viko katika hali nzuri sana na haijatumika hapa bongo. Kwa sasa ipo Mbeya lakini mnunuzi wa Iringa, Morogoro na Dar anaweza...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu, natafuta cylinder block used ya engine ya 3S kwa ajili ya rav4, aliyenayo anipm au anicheki kwa email frehape@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Nyumba ya kisasa ya ghorofa inauzwa,ipo maeneo yenye upepo mwanana ya Mbezi Beach karibu na bahari ya Hindi,nyaraka zote muhimu zipo ikiwa ni pamoja na title deed, lengo la kuuza ni mhusika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kina ukubwa wa ekari 1 kasoro mita 15. Kipo karibu na World Vision kilometa 1 mbele. Bei 40mil. 0755033997 0714404057
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Laptop DELL MPYA 1.6GHz Ram 2 Gb pentum (r) 4 Kwa sh laki 350000 tuuu!!! wahi ofa hiiiiii........ au 0764435828 au 0718512630 ofisi zipo kaliakoo
0 Reactions
10 Replies
1K Views
The poor will remain poor untill they discover that thinking is free.
0 Reactions
4 Replies
991 Views
Kiwanja kina ukubwa wa ekari moja kasoro mita 15. Unashuka kituo cha daladala seminari juma ya kituo cha tanesco. Kipo karibu na World Vision kilometa 1 mbele kina bikoni pia. Bei 40mil...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna kipindi kulikuwa na gym nzuri pale oilcom lakini imefungwa, hivyo nauliza wadau ni wapi kuna gym iliyo karibu na maeneo ya ubungo au sinza? Than you!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta external hard drive ambayo ina space ya 1TB 3TB ama even higher....ni pm or +255 756 412 337
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Back
Top Bottom