Je wewe ni msanii wa ngoma za asili au sarakasi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wewe ni msanii wa ngoma za asili au sarakasi?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Rapunzel, Sep 21, 2012.

 1. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Raharaha Arts Troupe inasaka wasanii na vipaji vifuatavyo:-

  1- Wasanii wa sarakasi wa aina zote
  2- Wasanii wa ngoma za asili yaani wapigaji, waimbaji na wachezaji

  Kwa kazi za sanaa za ndani ya Tanzania na nje ya nchi ya Tanzania

  wasiliana nami kwenye namba hizi 0712144443 na 0759020751

  Nakshi
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2013
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  mimi salakasi huwa napiga kavu mara 3 na kupiga msamba pia!. mia
   
Loading...