Full usanii hapa!!hakuna gari wala tairi inayouzwa.Mtu mwenyewe inaonyesha ni muhuni muhuni hivi!Hata detsils muhimu nazo unaenda kuzipiga picha au na wewe umesikia kwa mtu mkuu????
Kesho nitaenda kupiga picha nitaziweka iko bomba sana
Sidhani kama kuna muuzaji wa gari hapa!Hivi kati yenu kuna mnunuaji wa gari kweli....naona dhalau zimewajaa midomoni....alafu unakuta watu wenyewe hata kulala mna lala geto au kwa mjomba.....hizi internret cafe zina mambo kweli...
Msijali naweka picha mda sio mrefu.
Nissan partol manual five door black metaric........imetembe kilometa chache ipo oda bado inauzwa bei chee milion 19..... Anae hitaji nipigie 0713935738
Madalali bana...... Eti milioni 19!!!!! Si bora niongezee milioni 19 zingine ili ninunue LANDCRUIZER mpya, kuliko hako ka-nissan kanakopiga chafya utafikiri kananusa ugoro.....

mashauzi classic. mtu mwenye uwezo wa kuwa na milioni 38 hawezi kuwa online jf saa nane usiku. hiyo land cruiser yenyewe huwezi hata kuiandika. Acha nishai mkuu.
Sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
uwiiiiiii!!!!! Wana jf tumetukanwa......tumetukanwa jamani tumetukanwaaaaaaaa....... Kumbe mtu yeyote tajiri hawezi kuwa jf saa nane usiku????? Na kumbe jamii forum ni ya watu wenye kipato cha chini wenye kipato kikubwa hawaingii jf????? Na kumbe mtu akishindwa kuandika vizuri neno (to spell landcruiser-akaandika "landcruizer") ni mtu mwenye kipato duni???? Uwiiiiiiiiiii!!!!! Mods mmeliona hili??????
Jf ni ya watu maskini tu kumbeeeeeeeeee????????? Ninauchungu sana...........
kujamba ajambishwe mwingine, mishipa ikuume wewe. Kama una uchungu si ukimbilie leba, jf hamna wakunga huku. Ndo'nyie mwisho wa siku mnasababisha ukosefu wa mvua nchini.