Natafuta nyumba ya kupanga moshi mjini

Natafuta nyumba ya kupanga moshi mjini

KGARE

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
108
Reaction score
39
Ndugu zangu natafuta nyumba ya kupanga Moshi mjini Kuanzia mwezi huu wa January 2013, eneo la karibu na usafiri wa daladala.
Iwe na walau vyumba viwili vya kulala na sebule, jiko (kitchen) na geti. Bei isiyozidi 200,000/=
Kama kuna yeyote anayeweza kunisaidia awasiliane nami kwa namba ifuatayo ya simu
0683 827797
 
Nna nyumba, vyumba vinne, master moja vya kawaida vitatu, inapangishwa na baadhi ya furnitures kama vitanda na makabati na vitu vingine nipigie 0713713198
 
Back
Top Bottom