New STOCK NEW STOCK!!...PHONES & LAPTOPS!!

New STOCK NEW STOCK!!...PHONES & LAPTOPS!!

NickFatz

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
224
Reaction score
8
HTC one X New with box ---- 980,000Tsh SOLD

HTC sensation NEW no box! ----
750,000Tsh SOLD

GALAXY NOTE 10.1 used ---- 986,000Tsh SOLD

GALAXY NOTE 2 newno box 32GB---- 890,000tsh SOLD

GALAXY NOTE 10.1 used Good Condition----
900,000Tsh SOLD

Galaxy S3 64GB new wight witth box----
750,000Tsh SOLD

Galaxy Note 1 16GB used----
520,000Tsh

Mac book Pro 750GB
HDD Quad-core AMD---- 1.0mTsh

Sony VAIO 1TB HDD 3.2GHz AMD----
1.5mTsh SODLD

AS ALWAYS GUYS...PRODUCTS ARE USUALLY SOLD OUT IN A DAY SO HURRY!!...>>>>

CALL OR TEXT FOR MORE INFO!!!!.......>>>>+255 756 412 337
 
sasa ndugu km simu zimeshanunuliwa kuna sababu gani ya kutangaza hapa? Binafsi nahitaji sana simu lkn ninakuwa na hofu na hili tangazo yani simu zimenunuliwa kabla ya kutangazwa?
 
Huu ni utani sasa

Sent from my IPhone using Tapatalk
 
sasa ndugu km simu zimeshanunuliwa kuna sababu gani ya kutangaza hapa? Binafsi nahitaji sana simu lkn ninakuwa na hofu na hili tangazo yani simu zimenunuliwa kabla ya kutangazwa?

Hata mimi sijaona sababu ya kujaza page kwa vitu viliovyo uzwa. Tanngazo linapoteza mvuto bora ungeanzia ambazo hazijauzwa
 
Watanzania bwana, unakopi taarifa kwenye mitandao bila kujua maana.
 
sasa ndugu km simu zimeshanunuliwa kuna sababu gani ya kutangaza hapa? Binafsi nahitaji sana simu lkn ninakuwa na hofu na hili tangazo yani simu zimenunuliwa kabla ya kutangazwa?

Samahan kama umekosa kununua simu....Lakini hili Tangazo ili wekwa tangu juzi..Ndomaana nimesema fanyeni fast kwasababu vitu vinauzwa fasta.
 
Samahan kama umekosa kununua simu....Lakini hili Tangazo ili wekwa tangu juzi..Ndomaana nimesema fanyeni fast kwasababu vitu vinauzwa fasta.

Acha uchoko dogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom