Toyota vx limited inauzwa cheki bei hapa

Toyota vx limited inauzwa cheki bei hapa

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
habari zenu mm ninauza gari aina ya toyota vx limited haijawahi kupata ajali ilikua haina safari za mbali pia ipo fresh
hali nzuri bei 32,000,000 kwa mawasiliano 0712-212220 zaidi angalia picha hapo chini n
1.JPG2.JPG2.JPG3.JPG4.JPG
 
Ndege ya SERIKALI nzuri ya kisasa used, yakubeba watu sita inauzwa LAKI TANO (500,000) za kitanzania!

Wewe unauza Toyota Land cruiser vx 32m?????


Aaaahaa hunipati mkuu,

Jumatatu mie nakwenda arusha kumalizia ndege za laki tano laki tano zilizoobaki pale Kilimoanga
 
Mkuu kwenye tangazo moja la simu umemuuliza mhusika kama simu zake ni za wizi! Je, hili gari lina vibali vya Interpol!
 
Wakuu mambo memengine yanahitaji upevukaji wa akili, si kila kitu kinahitaji tabia za bibi na mjukuu wake. Kuna majukwaa mengi tu humu ya kujikusanyia "likes" na umaarufu wa majina jf.
Yanini, mje na utani kwenye biashara za watu? ka mlitaka kutoa hoja zenu za mizahaa, si ndio maana akawawekea # za cm.
 
Njoo na 19mill nakupatia nzuri zaidi ya hiyo mkuu,,duh 32mill???? Hapo umenunua ndege 64 serikalini
 
Kaka hiyo gari used from japan CIF 5100 let's say ushuru na vitu vingine vyote mpaka ipo barabarani 5000 nyingine so ni 10000 USD.
Kama 16M unapata ambayo haijatembea tz sasa hiyo yako price inadouble why?
 
Kaka hiyo gari used from japan CIF 5100 let's say ushuru na vitu vingine vyote mpaka ipo barabarani 5000 nyingine so ni 10000 USD.
Kama 16M unapata ambayo haijatembea tz sasa hiyo yako price inadouble why?

Nina mashaka na bei zako mkuu, labda kama ni FOB
 
Kama mtu unahitaji ongea biashara, kama huhitaji acha kuongea utumbo. Sina hakika kama huyu kijana anayeuza hii gari kama amekosea lolote hapo.
 
kama mnaona bei hii ghali achaneni nayo wapo watakao hitaji kwanza mnaonekana hamjui gari hembu nambieni kwa miaka hii 7 hii aina hii ya gari imepungua bei lini zaidi ya kuzidi halafu mnanichekesha hii gari kweli mnayotangaziwa net inauzwa dola 5000 mmerogwa na aliewaroga ameshajifia! poleni!

Mkuu, kuwa mpole unapoleta biashara. Kila mtu ana namna yake ya kupata information. aspen alipotaja bei ya FoB alikuwa na maana yake.

nakuhakikishia ukiangali www.beforward.jp utakuta Cruisers hizo bei poa sana. Zinaanzia CIF DSM $ 4800 hadi $ 7900 (Mind you ni CIF na sio FOB). Ina maana Fob inaanzia $ 2900 hasdi $ 5900 so aspen is more than correct. Gari hizo pia ni za zamani so ushuru wake utakuwa chini sana as per Depreciation Formula ya TRA ingawa utalipia Uchakavu.

Kama vipi ni vizuri wote tukajua facts hizi na si kuwa mkali mkuu.

Check hapa: http://www.beforward.jp/toyota/land-cruiser/bf91000/id/85289/
 
Back
Top Bottom