Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

bei ni milioni 14, umbali na barabara ni dakika 5 tu. maji yako karibu,umeme pia upo karibu.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza, bidha za Stucco Italiano zimeingia nchini. Moja ya bidhaa hizo ni ‘’Classic Venetian Stucco Marmorino Plaster’’ Plaster hiyo inatumika katika kung’arisha na kupendezesha...
2 Reactions
11 Replies
8K Views
habari wakuuuu nahitaji mini laptop aina ya samsung au dell.Mwenye nayo ani-pm pamoja na bei au namba yake ya simu afu nitampigia
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Model - 2000 KM - 85,000 Car Type - Manual Car Engine Type - RAV4 2000 CC Car Owner - Lady Car Condition - Perfect and it is ready for inspection. Please contact me through PM or Mobile Phone...
10 Reactions
46 Replies
10K Views
Salaam ? natafuta gari ya kununua LAND ROVER FREELANDER Iwe ina km zisizozidi 100,000 pia isiwe imetumika hapa kwetu Tz, substitute yake iwe NISSAN X-TRAIL DIESEL Tafadhali mwenye nayo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nauza Rav 4 ya milango mitano, ya mwaka 2008, imetembea KM 160,000, ya rangi nyeusi, bei Tshs 9,000,000/=. If interested ni PM
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wale wenye kuhitaji mashamba,basi waje kwangu.nauza mashamba ya heka(acres) 20. mahali yalipo. kijiji cha VIKUGE (SOGA) kongowe-kibaha km 15 kutokea kongowe. kwa maelezo zaidi wasiliana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kipo Kihonda, Ukubwa Sq 600, umeme upo , maji yapo jirani, kipo ktk plan. Bei maelewano. Cont: 0715500248.
0 Reactions
2 Replies
827 Views
Kiwanja kizuri kinauzwa arusha eneo la engosheraton karibu na shule ya Edmund rice. Urefu ni 34 na upana ni 20. Bei ni 13m ila kuna maelewano hapo. Kwa maelezo zaidi tuchekiane pm.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wa umri wowote especial mwanamke hata kama ana mtoto, maslahi mazuri na kazi sio nyingi. Sehemu ya kazi sio mjini ila ni sehemu ya kati,malazi,kula n.k ni juu ya mwajiri na uhuru wa kutosha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima mbele wana jamvi !! Kama heading inavyojieleza,nahitaji huo mzigo haraka iwezekanavyo,bajeti yangu ni 1000,000= IWE KATIKA HALI NZURI iwe ni ir series ila isiwe ir 1600
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Nikon camera D40 iko ktk Hali nzuri kwa wale wanaotaka kufanya kazi ya biashara ya kupiga picha ,Bei Tsh 700000.00. picha kufuata ,Call. 0712652110. DAR
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni aina ya canon ir 1708. Haijatumika tz. Bei maelewano. Piga simu hii ikiwa unahitaji. 0755312233
0 Reactions
0 Replies
913 Views
All graduates searchingfor jobs are invited for a discussion and training session on “Graduates’employability”. The discussion will focus on employability challenges, jobsearch techniques and the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 800,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bei 450000 bei inapungua mwenye kuhitaji anipm nipo Mwanza nina dharura nauza moja ninazo mbili. Simu 0766978393
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wandugu, nauza Play Station2, SONY, DVD-video, DVD-rome, Disc Compact, mpyaaa!! BEI NI SH.220,000 tu, kwa wanaotaka tuwasiliane kwa kingkahindi@gmail.com
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta sofa set used kwa mtu anayeuza. Bei isizi lak 7 na ziwe katika hali nzuri. Kwa aliye tayari ani txt 0717354243 au whatsapp kwa hiyo hiyo namba
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Habari wadau..! Kuna soko zuri la uhakika la madini ya mecury nyekundu hasa inayotokana na mwamba,hata kama unayo ya kiwandani na imehifadhiwa vizuri au kama unajua mtu aliye nayo tuwasiliane...
0 Reactions
34 Replies
16K Views
Kiwanja kina hati milki na kina ukubwa wa mita za mraba 1543 au mita 30 x 51 kina uzio mathubuti iliojengwa kwa nondo na zege nguzo imara na tofari za inch 6. Kiwanja ni kizuri sana unaweza kuona...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom