ipo galaxy s3 mpyaaaa, full box
hyo pesa bora huwasaidie wazazi wako
Mkuu angalia sana matumizi yako ya herifi "h". Wote wawili wewe na huyo aliyekupa "like"
Unanihakikishia sio mchina?
Wakuu ninayo pesa tajwa hapo juu natafuta smart phone mpya au iliyopo katika hali nzuri hasa Htc one x,(isiwe Nokia Lumia) kama unayo ni pm nitaicheki nikiridhika naichukua. serious no ubabaishaji.
Ahsanteni wakuu, nimekwishapata simu.