Lugha kama hii inafaa kwa matangazo?

Lugha kama hii inafaa kwa matangazo?

Muk

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
547
Reaction score
70
wana jf habari zenu,

Kuna tangazo linaoneshwaga chanel 5 linalosema" fupi tamu ndefu inakela" mimi nimeshindwa kabisa kumwelezea mtoto wangu hilo tangazo lina maanisha nini baada ya kuniuliza.

Sasa kama wenzangu mnajua nisaidieni.
 
Nawaonea huruma watoto wetu jinsi kila aina ya takataka inavyokuwa exposed kwao!Mi nimetafsiri kama moja kwa moja kuwa ni lugha ya matusi na ambayo haifai kabisaa sa sijui mtoto unamjibuje hapo.Na picha ikoje?
 
Poor Tanzanians..utakuta majority wanalishangilia tu
 
wanamanisha mgegedo mfup mtamu na ndefu inakera. labda tuwaulize wadada
 
Halafu wahusika wako busy na vitu vingine kabisa kama hawaoni,mmomonyoko wa maadili uko kiwango cha juu sana,utadhani nchi haina vyombo husika
 
Sisi tulioletewa dini ndiyo tunaojifanya tunazijua kuliko waliotuletea hizo dini.

Sisi tunaojifanya tunamaadili ni wachafu kuliko hao tunaosema hawana maadili (Wazungu).

Mnafiki ndiye atakayeona lugha iliyotumika kwenye hilo tangazo haifai.

C'est la vie.
 
wana jf habari zenu,

Kuna tangazo linaoneshwaga chanel 5 linalosema" fupi tamu ndefu inakela" mimi nimeshindwa kabisa kumwelezea mtoto wangu hilo tangazo lina maanisha nini baada ya kuniuliza.

Sasa kama wenzangu mnajua nisaidieni.

kaka niliwahi kuwaandikia magic fm na tangazo lao anaekuna na anekunwa nani anasikia raha, walipoendelea kulipiga nikawaandikia tcra, wakanijibu kwamba watachukua hatua, cha ajabu lile tangazo liliendelea kwa miezi mingine mingi tu
 
Sisi tulioletewa dini ndiyo tunaojifanya tunazijua kuliko waliotuletea hizo dini.

Sisi tunaojifanya tunamaadili ni wachafu kuliko hao tunaosema hawana maadili (Wazungu).

Mnafiki ndiye atakayeona lugha iliyotumika kwenye hilo tangazo haifai.

C'est la vie.

Ainsi que C'est ne pas la vie
 
Back
Top Bottom