Wakuu natafuta gari ndogo aina ya Duet au Vitz (5 doors), budget 6m. Iwe katika hali nzuri.
Brother kwa hiyo bajet yako unaagiza aina ya hizo gari unayotaka direct from Japan inakuwa ktk hali nzuri zaidi kuliko kununua kwa mtu.Wakuu natafuta gari ndogo aina ya Duet au Vitz (5 doors), budget 6m. Iwe katika hali nzuri.
Brother kwa hiyo bajet yako unaagiza aina ya hizo gari unayotaka direct from Japan inakuwa ktk hali nzuri zaidi kuliko kununua kwa mtu.
Gharama zote mpaka unaiweka barabarani haizidi 6M.
Brother kwa hiyo bajet yako unaagiza aina ya hizo gari unayotaka direct from Japan inakuwa ktk hali nzuri zaidi kuliko kununua kwa mtu.
Gharama zote mpaka unaiweka barabarani haizidi 6M.
mwenye toyota duet.je unaweza kupost contact zako?na picha pia if possible
Kaka last month nimenunua DUET, mpaka naiweka barabara imenitoka shilingi milioni6 na laki2 tuu.Mkuu natofautiana na wewe kidogo.
Sijui approach yako ime base wapi sana sana. Nahisi ume assume kua hiyo gari CIF yake mpaka dar ni mil 2 na nusu. La sivyo kama itakuwa tofauti na hivyo basi ujue hiyo gari gharama yake lazima itakuwa juu zaidi. Ushauri wangu ni bora kama atapata gari kama hiyo hapa hapa ndani kwa bei rahisi anunue tu kuliko kuingia gharama zaidi ya bajeti yake halafu apate stress buree.
Wapo watu wanatumia magari vizuri sana hapa bongo. Home - kazini - home - church - harusini. Gari kama iyo na kama service inaenda vizuri haina tatizo. Cha msingi amtafute fundi wake atakayempa ushauri whther to buy or not depending on the engine ya gari na bodi. La sivyo usumbufu wa bandarini na TRA ni balaa haswaaaaa.
Ni hayo tu
Kaka last month nimenunua DUET, mpaka naiweka barabara imenitoka shilingi milioni6 na laki2 tuu.
nina uhakika 100%.