Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 569
Kuna nyumba inauzwa tegeta madale ina vyumba vitatu kila kitu ndani ila haina masterbedroom,imepigwa bati ina madirisha na mageti kwenye milango bado finishing tu. mwenyewe anaiuza kwa sababu ya matatizo anataka akatibiwe india,bei mil 35 mazungumzo yapo,mawasiliano 0719294611