G Gem's Guy New Member Joined Oct 9, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Oct 9, 2013 #1 Natafuta nyumba ya kupanga mazingira ya ubungo au kimara yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko, choo na bafu ikiwa ina master itavutia zaidi. Budjet yangu ni laki mbili kwa mwezi.
Natafuta nyumba ya kupanga mazingira ya ubungo au kimara yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko, choo na bafu ikiwa ina master itavutia zaidi. Budjet yangu ni laki mbili kwa mwezi.
bombu JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 1,127 Reaction score 544 Oct 9, 2013 #2 Huwezi pata nyumba ya aina hiyo kwa bei hiyo kwa maeneo hayo
G Gem's Guy New Member Joined Oct 9, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Oct 9, 2013 Thread starter #3 bombu said: Huwezi pata nyumba ya aina hiyo kwa bei hiyo kwa maeneo hayo Click to expand... Aksante sana ila kwa budjet yangu hiyo naweza kupata ya aina gani?
bombu said: Huwezi pata nyumba ya aina hiyo kwa bei hiyo kwa maeneo hayo Click to expand... Aksante sana ila kwa budjet yangu hiyo naweza kupata ya aina gani?
G Gem's Guy New Member Joined Oct 9, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Oct 9, 2013 Thread starter #4 Aksante sana ila kwa budjet yangu hiyo naweza kupata ya aina gani?