Gari inauzwa Milion Tatu

Gari inauzwa Milion Tatu

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
772
Ni toyopta corona EXIV

imetembea 180,00km

inatembea na ina hali nzuri....

nyeusi metalic...

cc 1800 (ilichakachuliwa zikashuka hadi 1500)

Power Window

Aircondition ipo Ok (ya kujaza gesi tu na tunajaza wote)

Engine safi 3S....

Namba T.AH.......

maongez yapo............

pich antaweka mda c mrefu
 
Je kwenye kadi ya gari pia imechakachuliwa? itakuwa haina maana kama kadi haijakuwa amended
 
Mi nna yangu nauza laki tano tuu. Mnunuzi yupo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Jaman acheni utani kwanza na tuongee ya maana mana wengine mnasema laki 5 mara laki 9.

Kaka unaeuza kwa Millioni 3,naomba utume picha japo tuione na kujua ikoje
 
mkuu weka picha tukusapoti achana na hawa matapeli wenye laki zao 5 na 9
 
Ni toyopta corona EXIV

imetembea 180,00km

inatembea na ina hali nzuri....

nyeusi metalic...

cc 1800 (ilichakachuliwa zikashuka hadi 1500)

Power Window

Aircondition ipo Ok (ya kujaza gesi tu na tunajaza wote)

Engine safi 3S....

Namba T.AH.......

maongez yapo............

pich antaweka mda c mrefu

Km 18000 au km 180000? Maana kama ni ile ya awali ni gari jipya hilo, ila kama ni 180000km, sawa!
 
Watu mna maneno ya maudhi dah "Mnunuzi wa mwisho anahitajika....!"Nimecheka hadi watu officin wakageuka!!

Mnunuzi wa mwisho shurti awe rafiki wa mafundi na wanunuzi wa vyuma chakavu.
 
Ni toyopta corona EXIV

imetembea 180,00km

inatembea na ina hali nzuri....

nyeusi metalic...

cc 1800 (ilichakachuliwa zikashuka hadi 1500)

Power Window

Aircondition ipo Ok (ya kujaza gesi tu na tunajaza wote)

Engine safi 3S....

Namba T.AH.......

maongez yapo............

pich antaweka mda c mrefu

Haijawahi kugongwa?, na je haina licage kwenye Engine?. Weka picha ya Gari na Namba ya Simu tunaweza tukaelewan.
 
Haijawahi kugongwa?, na je haina licage kwenye Engine?. Weka picha ya Gari na Namba ya Simu tunaweza tukaelewan.

haijawahi kugongwa mkuu....,pia likage hakuna na engine yake ni nzima sana na imetulia.....picha ya gari nafany amchakato wa kuiupload....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom