Wana JF,
Kumekuwa na matangazo mengi sana humu juu ya viwanja Kigamboni. Ningeshauri kujikumbusha mipango ya Serikali juu ya Kigamboni kabla mtu hajaamua kununua viwanja vinavyotangazwa kwa kazi humu JF! Link hii inaonyesha mradi wa mji utahusisha kata karibi zote unless one knows mipaka ya huo mradi kwenye hizo kata. Just advice kwa wanunuzi to avoid future problems! allAfrica.com: Tanzania: Kigamboni City 'Is for Real' (Page 1 of 2)