Computer Desktop

Computer Desktop

Jogoo kijiti

Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
34
Reaction score
6
Poleni na kazi wadau..nahitaji desktop computer 10 ziwe na specification ndogo na za kawaida.nko mbeya mawasialiano yangu n 0716134171 naomba serious seller tufanye biashara.
 
una maanisha nn kusema specification ndogo?? Mm ningeona ni bora u specify ndipo tulio serious tukuuzie....kwa mfano mm nna uza desktop yangu lakin nashindwa kujua kuwa ni ndogo au kubwa kwan hujaspecify mahitaji yako
 
Nipe bei. nami nahitaji desktop kwa ajili ya kazi za nyumbani, iwe na basic programmes including internet
 
nenda kwnye Facebook angalia hawa jamaa wanaitwa Babukubwa Discount vitu vyao ni chee
 
Back
Top Bottom