Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Pikipiki tajwa hapo juu inauzwa. Ipo katika hali nzuri sana, ni electric starter, ina oil cooler na ina uwezo wa kwenda mbali bila injini ku over heat. Bei haipungui 2.8mil
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Natafuta mpangaji wa kupanga. Nyumba iko sabasaba karibu na mawenzi. Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom choo ndani. Sebule kubwa na korido ambayo ni jiko. Mawasiliano 0718600001
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji land surveyor kunipimia Kiwanija changu Kimoja Bagamoyo.Unapojibu taja bei yako bila wasiwasi
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Am looking for the above mentioned vehicle, should be low milage and at immaculate condition
0 Reactions
6 Replies
1K Views
A large residential property with all the necessary amenities is available for letting at very reasonable terms. The property has sufficient rooms suitable for use as an Office, Supermarket, Shop...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu.. kutokana na shida za apa na pale nilikua naibana samsung s4 kwa 650 tuu,,, >>tatizo battery life imeanza kuchoka ,,ina survive 6 hours perday.. 0712 507060 if interested
0 Reactions
4 Replies
711 Views
Kama unahitaji mwalimu wa physics au Advanced mathematics kwa a level kwa aliyepo Dar nipm au 0759 146483 tuongee
0 Reactions
0 Replies
840 Views
natafuta sehem ya kukaa ya ukubwa huo maeneo ya karibu ya chuo cha TIA au hata temeke sio mbaya kama unacho chek me through 0714478797
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Someone with a car of above qualities send me a PM with with quote and contacts. Don't give more details-that will be pollution
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Used bt in good condition na haina tatzo lolote kabisa!! Comes wit two covers and usb cable.... serious buyers chek me on 0688 06 10 10
0 Reactions
0 Replies
676 Views
wakuu nahitaji kununua hiyo gari...so nataka nijue bei zake kwenye yards ya dar..nahitaji yenyc 2000cc na isiwe imetumika bongo...ikiwa nyeupe na rim size kumi na tano itakuwa poa sana...kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mambo vipi wanajf ,naitaji simu iyo lengwa na bajet ya laki 2 mwenye nayo na ambaye yupo tayri kwa iyo bei tufanye biashara no yangu 0713239001
0 Reactions
1 Replies
1K Views
huawei ascend y200 inauzwa kwa 150000 GENERAL 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 900 / 2100 SIM Micro-SIM Announced 2012, May Status Available. Released 2012, May BODY...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Wakuu ninataka kununua pikipiki sanlg or fekon mpya naomba mwongozo wenu kwa bei na aina ili nikiingia kkoo nisipigwe na wajanja wa mujini
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Nauliza wandugu wapi naweza kubadilisha kioo cha Samsung 2 tablet ya inchi 7 kwani chake cha asilia kimevunjika baada ya kudondoka,kwa anyejua anijuze na bei zake,asenteh
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kiwanja kinauzwa ukubwa ni 23 x 30 m, kipo banana ukonga njia ya kuelekea kinyerezi. Bei 6 million. Kwa atakayehitaji tuwasiliane 0715 761787. Good day!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wadau nyumba safi kwa kuishi ina vyumba vitatu vya kulala pamoja na jiko bei tsh mil.28 tu piga 0713746265
0 Reactions
0 Replies
3K Views
salamu sana wanajamvi ninahitaji play station 3 na 2 kwa bei nzur................................ msaada ni wap kwa kupata!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1:disapointed: SHURANI WAKUU
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Nasambaza unga wa sembe pamoja na dona kwenye taasisi mbalimbali kama mashuleni,vyuoni nk kwa chee kabisa. Bei kwa unga wa sembe 50kg ni Tsh 40,000/= na 25kg ni Tsh 20,000/= Pia kwa unga wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni Toyota Camry all duty paid (Road Licence &Insurance), CC 1830, Year 1995, Model SV40, First registered 2006. INATEMBEA. BEI 3.5M negotiable. Call 0755 850902 or 0787000133
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom