Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Boma la vyumba vinne linauzwa lipo mzambarauni chamazi na gari linafika mpaka mlangoni,lipo mita 200 kutoka barabara ya kuelekea katika uwanja wa klabu ya azam. Bei ni maelewano mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji Smartphone used kwa bei nzuri, niko interested sana na Tecno au Huawei
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Iwe na mwonekano mzuri pia iwe inatembea.Mwenye nayo tafadhali Naomba anitaarifu,Badget yangu ni 5.5ml tutabadilishana namba ili anionyeshe picha kwny whatsapp. Nipo Dar es salaam...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mwenye spywatch muundo wa picha niloweka tufanye biashara mara moja. Awe dar. Au anayejua wapi zilipo dar anielekeze. Strictly muundo na mwonekano huu tu. Natanguliza shukran.
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Mashine ya kuchanganyia unga inauzwa (angalia picha) Mashine ipo katika hali nzuri imetumika kipindi kifupi tuu!inauzwa kwasababu imepatikana mashine nyingine kubwa zaidi ya 20kg. Location...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi. WanaJamiiForums, Tunauza kiwanja Segerea; Kiwanja hicho kipo Segerea katika eneo zuri ambalo linafaa kwa biashara na karibu na Sekondari ya Magoza, kimepimwa na hati zipo. Mauziano yatafuata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiwanja kikubwa tu( 60 kwa 50) kinauzwa, kiko mwananyamala msisisiri barabarani kabisa, ni eneo zuri sana kwa business au kuishi. Hakina tatizo lolote la kisheria , wanafamilia wameamua kuuza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mabasi aina ya Marcopolo na Yutong ambayo yameshatumika hapa nchini yanauzwa
0 Reactions
10 Replies
4K Views
CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes zinatarajiwa kuanza Jumatatu ya tarehe 27/10/2014,Raha Tower Dar Es Salaam, kwa wale wote ambao wako interested wasiliana na simu hii...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
iko kwa fundi wakuu ni hp compaq 6515b,imepata shida kwenye charging system,gharama ya marekebisho ni 65elf.kwa anaetaka anipe lak1
0 Reactions
3 Replies
690 Views
Ipo vizuri haina tatizo lolote RAM 2GB, Hard Disc yake ya Original ina matatizo, hivyo basi nimeweka ya 160GB, Window 8 ila ilikuja na window 7, Webcam na vinginevyo. Kwa anayehitaji tuwasiliane...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana Jamiifrorums, Nauza simu tajwa hapo juu Huawei Ascend Y-210 kwa shilingi 100, 000/= Tatizo la simu: Kioo kidogo kime crack but hakina bad effect Kwa seriouz buyerz tuwasiliane ni-PM...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Mayai ya kuku wa kisasa yanapatikana kwa wingi tray moja ni Tshs 6000 kama unahitaji naomba tuwasiliane kwa 0754-222731 Ahsante
0 Reactions
15 Replies
3K Views
My goal is to provide the beat products with greatest service possible. Services VIRUS REMOVAL, CIMPUTER MAINNTENANCE, DATA RECOVERY, INTERNET SERVICES & ACCOUNTING SOFTWARE INSTALLATION AND...
0 Reactions
3 Replies
801 Views
nakupa tecno m3 good condition na elfu arobaini cash nahitaji HUAWEI y300 au CMU nyingne yenye uwezo zaidi ya tecno m3 nicheki 0718097972 nipo dar
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Ipo nyuma ya Shule ya Muslim, ina vyumba vitatu, sitting-room, Stoo, Jiko na Choo.. Gypsum & tiles 0766589444
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji mwalimu/mtu ambaye atanifundisha lugha ya kichina kwa muda wa mwezi mzima ama zaidi kulingana na maelewano yetu! kuhusu malipo nitaongea naye kwa...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Mwenye spywatch muundo wa picha niloweka tufanye biashara mara moja. Awe dar. Au anayejua wapi zilipo dar anielekeze. Strictly muundo huu tu
0 Reactions
5 Replies
992 Views
Habari za saa hizi wadau nahitaji line za airtel money na tigopesa bei utapanga weweila uwe tayari kwenda kubadili jina kwene tigo center au airtel center! 0658825141
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Imesajiliwa kwa namba T....CVW. Manual transmission. 79000Km. Silver. Inayo muonekanao mzuri sana na ipo Arusha. karibu tuongee biashara.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom