Spywatch inahitajika

Spywatch inahitajika

Tobito

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,312
Reaction score
4,172
Mwenye spywatch muundo wa picha niloweka tufanye biashara mara moja. Awe dar. Au anayejua wapi zilipo dar anielekeze. Strictly muundo na mwonekano huu tu. Natanguliza shukran.
 
piga hii namba unaletewa mpaka mlangoni...0713168090
 
Hongera !! kwa kutangaza biashara kwa staili ya aina yake. Umetumia ID moja kujifanya unatafuta hiyo kitu alafu ID nyingine unaweka namba ya simu ili watu wakutafute. Good creativity lakini tumekutambua ndio mtu yule yule
 
Mkuu uliyeweka no ya simu mbona haipiti? Niko serious kidogo.
 
Hongera !! kwa kutangaza biashara kwa staili ya aina yake. Umetumia ID moja kujifanya unatafuta hiyo kitu alafu ID nyingine unaweka namba ya simu ili watu wakutafute. Good creativity lakini tumekutambua ndio mtu yule yule
Hata sijakuelewa. We kama una ninachotafuta tufanye biashara. Hiyo maneno nyingine sijui umefikaje kusema.
 
Back
Top Bottom