Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunauza asali mbichi 12,000 tu kwa lt.Unaletewa ulipo pia tunatuma ht mikoani.Tunapokea pia order za jumla Inbox kwa wanaohitaji
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa natafuta nyumba ya kununua iliyo kwenye ghali yoyote, yenye vyumba vitatu, jiko, Store na Siting room, yenye thamani ya shilingi milioni 10 za kitanzania. Maeneo, Kinondoni, Magomeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta mashine ya kushonea nguo inaitwa Juki. kama unauza piga 0715 680 773
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kama inavyoonekana kwenye picha,aina ya gari ni Rav4,mileage 120,000.imeingizwa nchini kutoka UK bado haijatumika nchini,bei milioni 12,mazungumo yapo,dalali hatakiwi.piga simu 0717567879 kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imetumika kwa mwezi moja ina 64 GB internal memory bei laki 600,000/= tshs inapungua kwa maelezo piga 0783 132193
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji simu tajwa hapo juu bajeti yangu ni tshs.90,000/=,ila naweza kuongeza kidogo. Mawasiliano 0654404707,niko dar es salaam.
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Nauza hii camera kwa sh 1.5m
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Ipo kinondoni opposite na biafra, ina vyumba viwili, sitting room, choo, bafu, jiko, Parking ya gari.. 0718488595
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama wewe ni mnunuzi,/ au unamjua anaenunua, au dalali, au unahitaji matikiti maji nipe pm.Mimi nipo Dar es salaam shamba langu liko Mkuranga pwani mble ya Mbagala.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa Mwenye tatizo juu ya uandishi wa Research Proposal, Research Dissertation, Research data analysis and research technical review, call: 0754 660061 or 0786 660061 email: vicentvicent31@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Pata Power Bank 12800mAh Kwa Tsh 30000 mzigo Umebaki Kiasi Wasiliana Nasi Kwa Sim Number 0658967191
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa aneyehitaji cm tajwa anicheki..cm ni original full boxed nichek 0783380123.
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Condition: It is in good condition and working order Installed Operating System - Windows 7 Ultimate AMD Athlon 2650e 1.6 GHz 3 GB RAM 160 GB HDD CD-RW/DVD ±RW (±R DL) - Not working!! ATI...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kama unazo(senti za zamani) ni pm fasta tuongee...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wanaohitaji mabanda ya biashara yanayohamishika wawasiliane nasi kwa simu namba 0715 824 677 na 0784 824 677, ni mabanda yenye ubora, workshop yetu ipo kimara mwisho. Bei zake...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Hello, Imekuwa vema sana kwa watu mbalimbali kujishughulisha na miradi ya maendeleo. Sisi KIMI Development Consult Limited, ni kampuni tumesajiliwa ili kufanya kazi za ushauri na usimamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Kiwanja kimepakana na barabara ya mtaa na pia kipo umbali usiozidi km moja kutoka Barabara kuu eandayo Geza. Ipo sehemu tambarare huduma za kijamii kama maji si tatizo maeneo hayo na pia maji yao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji kifaa tajwa budget 60elfu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza simu za galaxy s4 na galaxy s4 mini duos. Zote ni original na used, ila ziko kwenye hali nzuri. Zinakuja na charger tu. Bei ya galaxy s4 ni tsh 550,000 Bei ya galaxy s4 mini duos ni tsh...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu. Nimezichanga nataka kununua smart phone, hivyo nahitaji ushauri wa uchambuzi yakinifu ni smart phone ipi nzuri kati ya lumia 1520, lumia 930 na Lg g pro 2 ? Au waweza nipa...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Back
Top Bottom