mzee wa ndonga
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,108
- 88
CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes zinatarajiwa kuanza Jumatatu ya tarehe 27/10/2014,Raha Tower Dar Es Salaam, kwa wale wote ambao wako interested wasiliana na simu hii: +255 713451713 kwa maelezo zaidi. Malipo ni TZS 800,000/ including manuals,material, questions, answers and explanation book pamoja na mtihani wa mock kabla ya Final exam ya ISACA. Unaruhusiwa pia kulipa kwa installments hadi 3.
Training hii Inamuandaa mtu kwa ajili ya kufanya CISA Exams za Dec 2014 na June 2015, na pia kwa wale wanaotaka kupata knowledge na skills ya jinsi ya kufanya Audits kwenye upande wa information systems. karibuni.
Enterprises demand IS audit professionals that possess the knowledge and expertise to help them identify critical issues and customize practices to support trust in and value from information systems.
The skills and practices that CISA promotes and evaluates are the building blocks of success in the field. Possessing the CISA demonstrates proficiency and is the basis for measurement in the profession.