Kwa wale wadau wa kununua chupa chakavu za maji na juice tuwasiliane kwa namba 0753543236, ziko zaidi ya kilo 8000 vile vile waweza kuwasiliana kwa PM.
Ilikuwa ni project ya shule ila tayari nishamaliza na sina lengo la kuindeleza yoyote anayeitaka ani pm au tuwasiliane kupitia --- 0717970058
sokohuru.pe.hu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,ninauza compressor mpya kwa ajili ya AC ya VW TOUAREG 3.0TDi 7L.
BEI ni 1.3M DENSO ORIGINAL FROM UK.
Call or Whatsapp on 0712 183 826.
Pikipiki Inauzwa Bado Nzima Kabisa
Haina Tatizo Lolote
Bei Tsh: 1350000
Napatikana Daresalam
kwa Mawasiliano Zaidi
Sim Number 0658967191
Email: desib744@gmail.com
Wakuu habarini za majukumu!
Naomba msaada wenu, natafuta Fundi au garage nzuri yenye mafundi wa AC za hili gari, kwani AC inasumbua hivyo ningependa nikaipeleka kwa watu husika wakalitatua tatizo...
Habari za weeken wakuu
Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba yenye vyumba vi 4 na fensi....maeneo ni tabata,mbezi ya kimara,kimara,tegeta,goba,mbagala,kongowe.....kiwanja kisiwe mbali na...
Laptop ya dell naiuza ni nzima kama ilivyotoka kiwandani ina 4GB ram,core i5,hdd 500 GB bei ni tshs.500 sipunguzi hata shilingi mia kama unahitaji nitafute 0716385824
Wadau ninatafuta chumba maeneo ya Temeke Wailes!chumba kiwe kwenye eneo tulivu na kusiwe na muingiliano sana wa watu!napendelea kiwe self ila hata kama si self basi kiwe katika mazibgira ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.