excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,954
wakuu kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji mwalimu/mtu ambaye atanifundisha lugha ya kichina kwa muda wa mwezi mzima ama zaidi kulingana na maelewano yetu!
kuhusu malipo nitaongea naye kwa maelewano zaidi!
Masomo yangu nitayachukulia on-line (kwa njia ya PM), na kwa njia ya simu pia!
Mwenye uwezo pliz naomba anitafute tufanye kazi hii!
xiexie!