Suzuki swift manual inauzwa.

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Imesajiliwa kwa namba T....CVW.
Manual transmission.

79000Km.
Silver.

Inayo muonekanao mzuri sana na ipo Arusha.
karibu tuongee biashara.
 
Ukisikia gari ipo Arusha, wauzaji hawaweki picha sijui ni za magendo hizi au vip!?

Dar es Salaam vitu wazi gari nje nje mpka plate no
 
Waungwana nashukuru kwa ushauri mzuri.

Gari ipo katika hali nzuri sana na sio ya wizi kama unavyodhani. Nashindwa kuweka picha kwa sababu ya uelewa wangu mdogo wa maswala ya IT.

Bei ni 8,200,000.
Ahsante sana na karibuni.
 
Waungwana nashukuru kwa ushauri mzuri. Gari ipo katika hali nzuri sana na sio ya wizi kama unavyodhani. Nashindwa kuweka picha kwa sababu ya uelewa wangu mdogo wa maswala ya IT. Bei ni 8,200,000. Ahsante sana na karibuni.
jifunze kuweka picha aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom