1gb
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 2,394
- 3,297
Iwe na mwonekano mzuri pia iwe inatembea.Mwenye nayo tafadhali Naomba anitaarifu,Badget yangu ni 5.5ml
tutabadilishana namba ili anionyeshe picha kwny whatsapp.
Nipo Dar es salaam.
-------------------------
-------------------------
Feedback
Wakuu nilishatapa,nashkru sana kwa wadau woote waliohusika kwa namna Moja ama nyngne,hasa wale woote mliowasiliana nami moja kwa moja kwa njia ya Pm,whatsapp na wengne kuongea nami moja kwa moja.
##kweli penye wengi,hukosi kitu.