Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Eneo la Mwenge kuelekea tegeta, kuanzia laki 250 kwa mwezi.. 0789634651.. sitaki dalali
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni eneo zuri la makazi , lipo Changanyikeni. For serious buyers please contact. 0755 41 69 80 0688 35 40 89
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Wapendwa WanaJF, nina shamba langu zuri ekari 17 Turiani Morogoro, naliuza kwa Tsh 8,000,000/= Kwanini ni zuri? Soma features zake hapa; 1) 70% ya shamba ambalo ni tambarare imezungukwa na mto...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
Nahitaji Digital Camera nipo Moro au hata zile Analogy
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Natafuta sehemu Sinza mori, Kijitonyama maeneo nyuma ya sayansi au mitaa karibu na polisi mabatini vyumba viwili kimoja kiwe na master, sitting room, jiko, gari liwe linaingia ndani, Mtaa uwe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari waungwana nauza madini ya game stone Nina kilo 3, ni-pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta,Boko,Ununio,Mbweni, Kimara,Mbezi,Kipunguni,Chanika,Kigamboni...Kisiwe Mbali na Barabara na Kiwe sehemu nzuri ambayo nitaweza kuweka hata frem za biashara sasa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama uko tayari tuwasiliane hapa 0652550240 au 0755163925
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Get a BOXED BRAND NEW Android Phone at BUDGET PRICE; Introducing Gowin M7 At 180,000/= (Nunua kabla hizisambaa town,price might double, :glasses-nerdy:) Whatsapp,insta,viber,tango,BBM,chrome...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nissan X trail namba T....DBW, ipo Arusha. Kila kitu kipo katika ubora wake. Karibu sana. Bei ni maelewano.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Imesajiliwa kwa namba T....CVH. Imetengenezwa mwaka 2001 na imetembea 150,000 Km. Ipo katika gali nzuri sana. Karibu tuongee biashara.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Tafadhali mwenye taarifa ya ninapoweza kununua e cigarettes hapa Dar naomba msaada. Ikiwezekana na prices zake. Walio ng'ambo na wanategemea kuwepo Dar weekend hii pia mnaweza kunisaidia.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Internet bila ya kikomo ya Airtel inapatikana 15, 000/= kwa mwezi. Ni vocha halali nimezipata kupitia Airtel. Offer hii itadumu zaidi ya mwaka. Call 0779 420 000
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pata viwanja maeneo ya Kinyantila. Sifa zake kimoja kina nyumba yenye vyumba viwili na eneo kubwa la kutosha ujenzi. Bei yake n 16millions. Na cha pili eneo la kawaida ukubwa wa wastani, bei yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana Jamiiforums, Natafuta Room ya kupanga maeneo ya Survey au Kifungura.
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Ni Heka Moja. kipo nyuma ya shule ya msingi Kilomo kilometer 3. kutoka kilomo Shule ya msingi. Bei yake ni Mil.4.5 (inaongeleka) kama una kiitaji Ni pm
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Engine yake ni ndogo, iko Babati mkoani Manyara, bei ni maelewano.kwa yeyote atakaye hitaji namba ya simu ni 0767812555
0 Reactions
2 Replies
1K Views
All duties paid, good
0 Reactions
0 Replies
842 Views
all
0 Reactions
0 Replies
654 Views
low mileage, good condition engine:650 cc
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom