Mayai ya kuku wa kisasa yanapatikana

Mayai ya kuku wa kisasa yanapatikana

Tumainiandy

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
433
Reaction score
91
Mayai ya kuku wa kisasa yanapatikana kwa wingi tray moja ni Tshs 6000 kama unahitaji naomba tuwasiliane kwa 0754-222731 Ahsante
 
unaret hadi pale mteja alipo au ninafuata mwenyew
 
Wakati mayai tulikuwa tunauza 7000 na yanakimbiliwa naambiwa soko uzalishaji umeongezeka wanaujua nini kimetokea kwenye soko hili sasa
 
Habari zilizonifikia ni kwamba nchi jirani zimeongeza kuleta huku kwetu mayai wakati sisi ni issue ngumu kupeleka kwao sasa sijui tupeleke kutengeneze vaccine ya mafua tukatibie ulaya ndio soko halitakuwa halitoshi, tuamke tufanye mambo makubwa kwa ajili yetu na taifa letu
 
Tumainiandy , ubungo sehemu gani mkuu? unatoa trey ngapi siku? nilikuwa nafikiria kuingia kwenye hiyo biashara umeniogopesha kidogo. Soko lake limekuwa gumu sana?
 
Last edited by a moderator:
Tray 100 zinafika usijali ndio biashara huwaga sina misimu hizi kwahiyo msimu wa chini unaride hivyo hivyo
 
Sasa inabidi nipfikishe Tshs 6000 kwa tray hali mwenye mahitaji anitafute
 
Sio haya niliyonayo kaka hata negotiation hiyo ni kali. Tungoje siku za baadaye makatalist wakiwa wengi itabidi tutengenezee dawa za mafua sasa kama ulaya sasa.

QUOTE=serio;10873195]Kuna mdau anataka, kwa 3000/- kwa tray... Inbox if ready[/QUOTE]
 
Kwa hali hii inanikumbusha kuwa capitalist inapotokea watu wa chini wanalazimishwa kuwa vibaraka wa wakubwa sasa nikutengeneza misuli ya kuwa nayo pamoja ndio ule msemo if you can not fight with them join them.
 
Haya sasa wala chipsi wameshakuja mjini sasa soko linarudi kwenye chati
 
Kwasasa watu wanatoa vitambi biashara ya mayai, white rice zinakosa soko
 
Back
Top Bottom