mpikamikate
New Member
- Oct 21, 2014
- 1
- 0
Mashine ya kuchanganyia unga inauzwa (angalia picha)
Mashine ipo katika hali nzuri imetumika kipindi kifupi tuu!inauzwa kwasababu imepatikana mashine nyingine kubwa zaidi ya 20kg.
Location: Mtwara(ila inaweza ikatumwa popote pale mnunuzi anapoitaka)
Inauwezo wa kuwaka kwenye umeme mdogo
Capacity: 10kg
Bei :Laki tisa (nakaribisha offer pia)
Contacts: 0785168001 na PM kwa walioko serious.
Karibuni.