Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunakata viwanja maeneo haya:- Bunju km 1 kutoka bagamoyo road 30 kwa 40 bei 16.5ml Mwanzoni mwa mapinga mbele kidogo ya bunju B km 2 kutoka bagamoyo road 20 kwa 25 bei 7ml Goba karibu na stand...
1 Reactions
3 Replies
902 Views
Salam wadau...nimeuza gari langu na nimeagiza lingine nahitaji gari ya kukodi kwa bei nzuri (fair) kwa wiki 3...kuanzia carina...premio..vits...gx100..ilimradi iwe nzima tu.Naomba mwenye nalo au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi offer yangu ndiyo hiyo, nahitaji TV flat screen LED brands kama Sumsung, LG au Sony na si vinginevyo. Vizuri muuzaji ukiwa Dar.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau salaam ziwafikie huko mliko jaman nahitaj fund mzur wa wa ujenz ambaye anaefanya deco wall.. hasa nahitaj concrete wall stamping na floor stamping.. anaeweza ani PM ama kama kuna mtu...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
iwe inakaa na chaji at least 3hrs
0 Reactions
5 Replies
832 Views
Mashine ya kupigia tofali na vibao vyake viko 500 inauzwa, inatoa tofali moja la 5.5", iko Dar, ilitengenezwa December, 2015 na TDTC pale UDSM, iko imara sana. Kwa bei ni 900,000 (Maelewano...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF kama kakichwa kalivyojieleza natengeneza application za simu android kwa Tsh 50000 Tu app ninazotengeneza ni za blog/web za habari na makala n.k ni cheki whatsapp/call 759202132...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaam waleikhu na bwana asifie kwenu, natumaini nyote mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa Taifa letu hili. Dhumuni la kuandika thread hii ni kupenda kuwatangazia umma kuwa nauza maeneo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Husikeni wadau bajeti yangu ni milioni 12 natafuta gari Niko Moro 0752048709
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi natafuta Jiko lenye oven kwa matumizi ya nyumbani linalotumia Gasi na umeme liwe na plate 4 na mashine ya kufuria tafadhari msaada
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Aina : Isuzu siti 30 ilkua school bus.. inauzwa baada ya shule kufilisika ipo vizuri bei milioni 13.. kwa mawasiliano 0654314066 0768240404 0688314066 Npo ubungo riverside.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Sema uitakayo halafu nikupe bei
0 Reactions
16 Replies
2K Views
nashida na mashine ya kukamulia juice ya miwa inapatikana wapi wadau na wanauzaje
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji Rav 4 J au L old model. Iwe katika hali nzuri. Ya Milango 5. Kama mtu anayo aniambie.
0 Reactions
5 Replies
688 Views
Nafuata laptop za bei chee[emoji61]
0 Reactions
1 Replies
769 Views
VIFAA VYA MATUMIZI YA NYUMBANI ( CHAKULA, NGUO, ELECTRONICS, FANICHA) VINAUZWA VYOTE KWA UJUMLA SH 2,700,00. WHASAP 0754734009 VIPO MBEYA FOREST
0 Reactions
11 Replies
4K Views
N dugu wana JF, nawasalimu nyote. Nipo kny hili jamvi kwa muda na nimejifunza mengi, leo kwa mara ya kwanza nimepata ziada ya kipato na nina Tsh.Milioni 6 na ningependa kuifanyia hii pesa kitu...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari wakuu, Ninaomba mwenye ufahamu wa walipo agents (Maduka) wa kuuza simu za Tecno hapa Dar anijulishe.Pia ningependa kujua bei ya Phantom Z na Phantom 5 mpya ikoje (Jumla na rejareja)...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Meneja Masoko wa shirika la DKT International Tanzania Bw. Davis Kambi (Katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa bahati nasibu iliyochezeshwa na shirika hilo wakati wa uzinduzi wa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nauza laptop ya macbook pro Used 750,000 napatikana kwa namba hii 0682973307
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Back
Top Bottom