Shamba linauzwa Bagamoyo

devcon

JF-Expert Member
Feb 2, 2015
359
384
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zanguni,tafadhalini husikeni na kichwa cha hanari kama kinavojieleza,ninauza shamba langu lililoko bagamoyo maeneo ya kidomole lenye ukubwa wa ekari5,kwa anaehitaji tuwasiliane tafadhali.
 
Sehemu kubwa ya eneo la Kidomole ipo kwenye milki ya EPZ,kwahiyo ni vema mnunuzi akajiridhixa kwanza kwa kucross na EPZ.
 
Tunaomba ufafanuzi kuhusu EPZ hiyo...Tupe na bei elekezi kwa eka moja au zote tano.
 
Sehemu kubwa ya eneo la Kidomole ipo kwenye milki ya EPZ,kwahiyo ni vema mnunuzi akajiridhixa kwanza kwa kucross na EPZ.
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zanguni,tafadhalini husikeni na kichwa cha hanari kama kinavojieleza,ninauza shamba langu lililoko bagamoyo maeneo ya kidomole lenye ukubwa wa ekari5,kwa anaehitaji tuwasiliane tafadhali.
Tunaomba ufafanuzi kuhusu hoja ya EPZ.
 
Kuhusu bei ya shamba ekari moja ni Tsh.1M na suala la EPZ sijui wao eneo lao linaanzia wapi na kuishia wapi nachojua ni eneo langu tu,ila kwa atakaekua tuyari itabidi tu crosscheck na hao EPZ ili kujiridhisha pia tutakwenda kuonana na serikali ya kijiji ili kujiridhisha zaidi,so kwa alie tayari tafadhali tuwasiliane na kuona shamba jinsi lilivo pamoja na mipaka yake ni bure kununua ni juu yako
 
Kidomole ni mbele ya kiwangwa au Fukayosi? au ni wapi hasa? unapita mto Ruvu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom