Wadau mimi ni mtaalamu wa kudesign blogs ,Adsense accountS za blogs pamojana temPlate kalikali.
Pia domain registratio za domain na vitu vyote vinavyohusiana na blogs.
Kamautahitaji huduma...
Tunachora Ramani za kisasa za Nyumba Kwa bei nafuu sana
Tupo Dar. Kwa walio mikoani watafikishiwa michoro yao.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi WhatsApp 0717 040837/0767267664
Tunachora Ramani za kisasa za Nyumba Kwa bei nafuu sana
Tupo Dar. Kwa walio mikoani watafikishiwa michoro yao.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi WhatsApp 0717 040837/0767267664
Nyumba ina tyles rangi Safi gypsum na haijawahi kutumika ipo Eneo la Goldstar yaani unashuka tankibovu umbali ni chini ya dakika 15 hivi Kutoka tankibovu kituoni
1.Tigo pesa 250,000
2.Tigo pesa 350,000
no. 2 unapata kwa jina lako
no. 1 unapata kwa jina la wakala mkuu lkn itabidi utume copy ya leseni ya biashara, Tin no na kitambulisho kwa ajili ya...
Nahitaji nyumba ya kupanga kuanzia vyumba viwili na iwe na sebule, jiko, store, master bedroom iwe moja, iwe kwenye uzio, isiwe zile nyumba za kizamani korido refu kama uwanja wa mbio....
Maeneo...
Kuanzia kesho sa3:30 mpk sa11 jioni duka litakua waZi Ryan's hotel njia ya kwenda Capri point Mwanza.
Baskeli mtumba kutoa Uswizi, kuanzia za watoto mpk wakubwa utapata. Changamkia fursa hii...
Jamani kama kuna mwenye dawa ya kuwafanya samaki wakose fahamu kwa muda na kurudia hali zao za kawaida, naomba ani PM. Nahitaji kusafisha bwawa la kienyeji na kulijengea na kisha Niwarudishe humo...
Habari wandugu
Nyumba inapangishwa iko maeneo ya Msasani karibu na Zara Tours. Nyumba iko sehemu nzuri sana, ina vyumba vitatu kimoja master, public toilet ya ndani, dining , jiko na sitting...
Habari wanajamvi, ninatafuta slim laptop yenye 13 inches.
Specs; at least 500 HDD, 4 GB RAM
Brand: HP, Dell, Samsung, Asus or any other reputable brand
NB: Iwe slim, iwe na uzito usiozidi kilo...
zipo Dar es saalam maeneo ya Mwenge ni mpya hazijatumika, bei kwa moja ni 300,000 maongezi yapo, pia kama una sofa au kochi la kurekebisha /kubadilisha kitambaa au ngozi nione, namba yangu ni...
guys nauza accounts za adsense kwa bei nafuu sana,
fungua blog yako iwe yenye content za kiswahili au vyovyote kisha nitafute nikuuzie accounts ya adsense itakayoruhusu blog yako kupewa matangazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.