Nauza Kiwanja Kipo Kinzudi, SalaSala

baba fey

Member
Jul 21, 2015
14
0
Ukubwa wa Kiwanja 700(35×20)SQM.
Bei Milioni 15 (Maongezi Yapo)

Kiwanja Kipo Sehemu nzuri, Watu wamejenga sana, Umeme upo, Kituo cha daladala hakipo mbali sana.
Kiwanja ni Skwata hakijapimwa ila wapo majirani wamepima viwanja vyao na wamejenga, Kiwanja ni Cha mzawa, hakina mgogoro wowote.
 
Kipo Bado Kiwanja
 

Attachments

  • 1454918998373.jpg
    1454918998373.jpg
    23 KB · Views: 31

Similar Discussions

Back
Top Bottom