Ramani na michoro ya nyumba

Jerhy

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
3,134
997
Tunadesign ramani za Nyumba kuanzia vyumba 2, 3, 4. Kwa kuanzia site plot ilipo na landscape design yake, fence, gate design. Michoro hiyo itachapishwa katika karatasi maalumu isiyofutika hata kama italowa maji. Mfano wa ubora wa kazi katika picha yaani 3D tazama hapo
 

Attachments

  • JEPG 1 JERHY.PNG
    JEPG 1 JERHY.PNG
    247.5 KB · Views: 829
Good job! Ila ningeshauri muwe innovative kidogo kuangalia uwezekano wa kudesign hata nyumba za watu wa vipato vya chini maana naona ndugu zangu mna focus kwenye high end market. In all, great work. Naamini wenye MAWE yao watakuja humu mzungumzane.
 
Good job! Ila ningeshauri muwe innovative kidogo kuangalia uwezekano wa kudesign hata nyumba za watu wa vipato vya chini maana naona ndugu zangu mna focus kwenye high end market. In all, great work. Naamini wenye MAWE yao watakuja humu mzungumzane.
Hizo zinajengeka tu ni finishing tu ndio inayogharamisha nyumba yako, mbona ni za kawaida sana, usiogope... nipe kazi nikuandalie inayofaa kwa ulinganifu wa kipato chako
 
Can you Architects get a little more creative? I find these plans to be plain vanilla.
ladha ya kazi ni je unaijengaje na je techinical style zipi unapenda, wakati mwingine watz hatupendi complicated design kwa lengo tu la kuepuka gharama za majenzi
 
Jerhy
unafaham jail time na fine kwa ku practice taaluma kama yako bila kufwata sheria sawa sawa?
muda na mawazo unayotumia kwa ajili ya marketing unge elekeza kwenye kujenga potential zaidi, kufanya usaili nk. utakua na mafanikio bora zaidi.

"if design is honest then advertising is lying".
 
Mkuu unapatikana wapi ,na hizo nyumba za mwisho hapo zina vyumba. Vingapi
 
Back
Top Bottom