Nauza Gari Bei Poa

lawyer2

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
224
67
Salaam wadau...nauza Toyota Mark 2 GX110 ya 2003.Ina wiki 2 tu hapa bongo na inacomprehensive insurance.Km 49000.Bei ni Mil 12 negotiable.Kwa mawasiliano contact 0689900000.Asanteni
 
Picha nimeshindwa kuupload zinagoma ila naweza tuma whatsaap
 
Picha nimeshindwa kuupload zinagoma ila naweza tuma whatsaap
1454843253503.jpg
1454843514106.jpg
1454843581492.jpg
1454843596010.jpg
 
kitu safi kabisa!!wenye hela zao tu...ila namba yako ya simu duuuuuuu...hadi inaogopesha.!kila la heri hope itachukuliwa soon
 
Back
Top Bottom