Saloon ya kike ipo sokoni

Farudume12

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
621
346
Saloon yakike ikiwa nakilakitu, inauzwa kwabei nzuri sana... bei imejumlishwa na kodi ya frem yamda wa miezi saba
jumla inataka milion5, sifa kubwa saloon ipo zaidi ya miaka 4, hakuna umuhim wakukaa unaumiza kichwa kisa wateja hamna, apana... saloon ipo tayari ilisha zoeleka. ukisha lipia na unaendelea na biashara. sababu zakuuza Mmiliki anarudi kwao. kwa maelezo zaidi wasiliana nami: 0788777951, picha utatumiwa kwanjia ya whatsApp ASANTE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom