Joram Kiango sokoni tena

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,675
Habari zenu wana jamii forum?
Kwa wale wapenzi wote wa Riwaya za marehemu BEN R. MTOBWA, tayari mzigo wa MTAMBO WA MAUTI & TUTARUDI NA ROHO ZETU? UPO TAYARI.
Kwa sasa, vinapatikana vitabu aina sita kwa bei ya shilingi 10,000 kwa kila nakala. Kwa wale wa mikoani pia, tunaweza kutuma nakala zao kwa njia ya bus ambayo gharama yake ni 5000 au sanduku la posta ambayo gharama yake ni 3000.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0712504985 au 0763044459
KARIBUNI WOOOOOOOOTE.
 

Attachments

  • mtambo cover.jpg
    mtambo cover.jpg
    59.6 KB · Views: 109
  • najisikia.jpg
    najisikia.jpg
    8.6 KB · Views: 100
  • nunda.jpg
    nunda.jpg
    12.7 KB · Views: 97
  • roho.jpg
    roho.jpg
    8 KB · Views: 76
  • shetani.jpg
    shetani.jpg
    77.9 KB · Views: 113
  • tutarudi cover.jpg
    tutarudi cover.jpg
    70.1 KB · Views: 87
Back
Top Bottom