Suzuki Escudo inahitajika

Nkobe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
2,204
3,277
Suzuki Escudo inahitajika, hata kama ni Old model. Offer ni 4.5M, kama ina hali nzuri mteja yuko tayari. Kama unaona inafaa tuwasiliane
 
Unakodi kwa mda gani? Au unataka kununua kwa hiyo hela? Hata kama hela imeanza kupotea siyo kihivo. Ukipata utatumia siku 3 halafu utaipeleka garage
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom