WanaJF,
Husika na kichwa hapo juu.
Nahitaji bodi kwa ajili ya kuhifadhi maziwa ya Tanga fresh. Niko Dar.
Ikiwa unalo bodi au unafahamu mwenye nalo, tafadhali tuwasiliane kwa namba 0657 15 19...
NAMNA YA KUPATA UTAJIRI BILA KUWA FREE MASON
Jee unataka kuwa tajiri kwa njia halali bila kuwa fisadi au Freemason? Unataka kupata pesa za uhakika siyo za kucheza michezo ya bahati nasibu? Pata...
Viwanja viko kibamba shule ukubwa kuanzia Mita 20*20 bei 4.5milion bei inaongezeka Kulingana na ukubwa, vyote vinafikika kwa barabara, huduma Za umeme na maji zinapatikana.
Kwa taarifa zaidi piga...
Set ya Kiti ya 1. 1. 2 pamoja na meza inauzwa bei chee kabisa Kwa tshs 480,000/= maongezi yapo.
Kiti kimetumika Kwa miez 6 kwenye familia ndogo ya baba, mama na Mtoto wa miaka 3 Kwa Hiyo viti...
Abarini wana JF, leo nimekuja na mpya kuna FRIZA inauzwa, mwenyew kapatwa nashida... inataka laki 3 na Nusu. pia kuna sim Windows phone, Model Microsoft Lumia 535 Dual sim. inataka laki 2 na nusu...
Hello wanajamii,
Nina pangisha frem ya biashara eneo la manzese midizini, ni frem mpya na ipo barabarani kabisa njia ya kuelekea buguruni kupitia mburahati, biashara yeyote ile halali inafaa bei...
Ninauza Shamba langu lipo Fukayosi lipo mita 200 tu kutoka barabara kuu ya lami iendayo Msata.
Shamba lina ukubwa wa Ekari 5.
Limepimwa. bado kupata Hati.
Bei ni Tsh 2m@ Eka.
Napenda niuze zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.