Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaam wadau...nauza Toyota Mark 2 GX110 ya 2003.Ina wiki 2 tu hapa bongo na inacomprehensive insurance.Km 49000.Bei ni Mil 12 negotiable.Kwa mawasiliano contact 0689900000.Asanteni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zanguni,tafadhalini husikeni na kichwa cha hanari kama kinavojieleza,ninauza shamba langu lililoko bagamoyo maeneo ya kidomole lenye ukubwa wa ekari5,kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa Tsh 9,900/-Joto sio tatizo tena,kiyoyozi kiganjani mwako;Feni unayoweza ichomeka katika simu yako na ikakupepea.Mawasiliano:0688304874
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau mimi ni mtaalamu wa kudesign blogs ,Adsense accountS za blogs pamojana temPlate kalikali. Pia domain registratio za domain na vitu vyote vinavyohusiana na blogs. Kamautahitaji huduma...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Tunachora Ramani za kisasa za Nyumba Kwa bei nafuu sana Tupo Dar. Kwa walio mikoani watafikishiwa michoro yao. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi WhatsApp 0717 040837/0767267664
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Tunachora Ramani za kisasa za Nyumba Kwa bei nafuu sana Tupo Dar. Kwa walio mikoani watafikishiwa michoro yao. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi WhatsApp 0717 040837/0767267664
0 Reactions
0 Replies
10K Views
IWE VITZ, STARLET, SWIFT,COROLA N.K CHA MSINGI IWE NZIMA HATA KAMA NAMBA A NITACHUKUA TU. PIGA AU TUMA SMS 0629141421...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nyumba ina tyles rangi Safi gypsum na haijawahi kutumika ipo Eneo la Goldstar yaani unashuka tankibovu umbali ni chini ya dakika 15 hivi Kutoka tankibovu kituoni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta sumsung galaxy note 10.1, -2014, 16GB
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mashine ni nzima, haina tatizo Hdd 250gb, Ram 2gb Processor i2 duocore Battery life 20 minutes Bei 400k negotiable Nipo arusha Mawasiliano 0684 204980
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Nyumba tajwa inauzwa ina eneokubwa la uwanja, iko Ghoba bei Tsh.30 mil. Piga 0687 877 001 kwa ajili kuiona live.
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Jamani mwenye kujua fundi wa kifaa cha gari turbo naomba anijuze. Turbo ya gari yangu inapoteza oil sana.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
1.Tigo pesa 250,000 2.Tigo pesa 350,000 no. 2 unapata kwa jina lako no. 1 unapata kwa jina la wakala mkuu lkn itabidi utume copy ya leseni ya biashara, Tin no na kitambulisho kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
nauza rcva hiyo bora kabisa kwa matumizi yako.kwa kutumia rcv hii utaweza kutazama mpira wa uingereza bure.kama unaihitaji pm haraka mzigo ni mchache
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji nyumba ya kupanga kuanzia vyumba viwili na iwe na sebule, jiko, store, master bedroom iwe moja, iwe kwenye uzio, isiwe zile nyumba za kizamani korido refu kama uwanja wa mbio.... Maeneo...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Kuanzia kesho sa3:30 mpk sa11 jioni duka litakua waZi Ryan's hotel njia ya kwenda Capri point Mwanza. Baskeli mtumba kutoa Uswizi, kuanzia za watoto mpk wakubwa utapata. Changamkia fursa hii...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Jamani kama kuna mwenye dawa ya kuwafanya samaki wakose fahamu kwa muda na kurudia hali zao za kawaida, naomba ani PM. Nahitaji kusafisha bwawa la kienyeji na kulijengea na kisha Niwarudishe humo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wandugu Nyumba inapangishwa iko maeneo ya Msasani karibu na Zara Tours. Nyumba iko sehemu nzuri sana, ina vyumba vitatu kimoja master, public toilet ya ndani, dining , jiko na sitting...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu,naonzq king'amuzi cha DSTV kimenishinda gharama,nilikinunua Disemba 28 mwaka jana.Nipm kwa mawasiliano zaidi.Niko Bunju
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, ninatafuta slim laptop yenye 13 inches. Specs; at least 500 HDD, 4 GB RAM Brand: HP, Dell, Samsung, Asus or any other reputable brand NB: Iwe slim, iwe na uzito usiozidi kilo...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Back
Top Bottom