nieleweshe, naweza kutumia vipi kama tv, hiyo tv box ni ya nini na inatumikaje?LED Monitor HP 20 + TV box vinauzwa Vyote kwa 140,000/= kwa matumizi ya Tv na computer pia.Inapatikana Dar es salaam.
PM kwa mawasiliano.
Hauna monitor kubwa? mi nahitaji ila siwezi kuja huko chanika, huwezi kuleta townTv box ni kifaa maalumu kinacho kuwezesha utumie Monitor yoyote kama Tv yaani uweze kuunganisha King'amuzi na Monitor ya Computer
Sipo Dar, well tatizo la kutuma mtu ampelekee pia baadhi ya watu siyo waminifu nimatapeli anagiza kitu then anatekekeleza utapeli imeshatokea so kumpelekea mtu mzigo huleta kaukakasi from experience.Hauna monitor kubwa? mi nahitaji ila siwezi kuja huko chanika, huwezi kuleta town
..........Sipo Dar, well tatizo la kutuma mtu ampelekee pia baadhi ya watu siyo waminifu nimatapeli anagiza kitu then anatekekeleza utapeli imeshatokea so kumpelekea mtu mzigo huleta kaukakasi from experience.