Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Habar wanaJF,
Kwa yoyete mwenyekufahamu wapi nitapata hostel binasfi ya wasichana Dar, iwe na maji pia umeme. Malipo yake yawe kwa mwezi au kwa semester kama unafahamu wapi nitapata unaweza ukanipa contact zake pia.
NB. Kuna mtu namtafutia.