Nahitaji 70Milioni nitarudisha 80Milioni

kidumba

Member
Aug 16, 2013
71
66
Habari wana jamvi ninahitaji 70milioni. kwa muda wa mwezi mmoja tu na nitarudisha 80Milioni baada ya huo mwezi mmoja kama unayo na uko interested ni PM.

MREJESHO
Tayari imeshapatikana kuna mwana JF kaokoa jahazi.
 
100% hutarudisha hata shilingi moja...
Kama kweli unajiamini weka huo mkakati wako hapa ama hio business pla yako imwage hapa tuione...
Mimi naweza kukupa mil40 within a month unarudishe 42..
 
Habari wana jamvi ninahitaji 70milioni. kwa muda wa mwezi mmoja tu na nitarudisha 80Milioni baada ya huo mwezi mmoja kama unayo na uko interested ni PM
Kama unastahili 70m nenda kwa banker wako atakukopesha.
 
Hebu sema hiyo hela ni ya nchi gani ........... maana tusikushangae kumbe mwenzetu unamaanisha ni pesa ya Zimbabwe.
 
Weka mazingira kwanza ya kupewa hiyo milion 70.. kabla ya kusema riba,, dhamana yako ni nini kwanza.. kupata m70 ni rahisi tatzo linakuja kwenye viambatanisho vyako unavyoweka rehani.. endapo haitarudi.. fanya fasta tufanye hiyo biashara
 
Wewe hebu tuelezee kuwa unazungumzia pesa ya Zimbabwe na si tsh.
Ukiwa kwenye ajira binafsi milioni 70 wala si ya kushangaza ndo maana wenye nayo wamesha PM,jamani ukitegemea mshahara wa mwisho wa mwezi tu bila kuwa na kitu cha kukuongezea kipato nje ya kazi hizi figure utaziona kwenye makaratasi tu.
 
100% hutarudisha hata shilingi moja...
Kama kweli unajiamini weka huo mkakati wako hapa ama hio business pla yako imwage hapa tuione...
Mimi naweza kukupa mil40 within a month unarudishe 42..
Kati ya mambo tunayokosea ndo hayo huwezi weka mambo yako ya kibiashara kila mtu aone ungekuwa serious unge PM tukapeana mawasiliano tukakutana ndo nikuambie hizo pesa ni za kufanyia nini si kila mtu anayeweka jambo hapa ni mzaha watu tuko kikazi zaidi wanaoendeleza mzaha watabaki hapo walipo
Kuna wazo la biashara ukiweka hapa kabla wewe hujapata mtaji wa kuifanya mwenye uwezo tayari analifanya na tayari unakuwa umeharibiwa mpango wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom