Nauza mabati ambayo nimekwisha yatumia na yanafaa kwa ajili ya kutengenezea mabanda. Mabati yapo kama 60 mita tofauti to. Yapo savei mwenge. Nipigie 0682540067
Ni Octoplus Box inaweza kuflash Na Kutoa Loki Samsung, Lg, Huwaei, Sony Ericson za aina zote
Ni NCK BOX inatoa Loki na kufash Nokia, Samsung,Htc,Huwaei, Tecno, nk za inatoa Loki zote
Bei kwa...
Kiwanja chenye hati sq mita 3968 kimepimwa kisheria na hati ipo kiwanja kina uzwa 120m inaruhusiwa kulipa kwa installments karibun piga 0656436662
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Heshima kwenu wana JF,
Shamba la Miti aina ya Pinus Patula (P. patula) yenye umri wa miaka 8 na ukubwa wa hekari 35 (hekta 14). Lipo Mkoa wa Iringa katika Wilaya ya Mufindi kijiji cha Mapanda...
Natafuta MC, Video Camera, Ukumbi, Mapambo n.k tufanyaje biashara ya matangazo. Hzo picha hapo chini namna ya matangazo yakavyoonekana kwenye website wanaJF. Ni bure kwa mwaka huu wote, kama wewe...
Wanajamii nawasalimu.
Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 176 kinauzwa maeneo ya KEKO magurumbasi A karibu na KEKO Madawa.
Kiwanja kina hati miliki halali.
Ukubwa wa kiwanja unaweza kujenga...
VIWANJA NYENYE SIZE TOFAUTI TOFAUTI SASA ZINAPATIKANA CHAMAZI - MBANDE BEI NI MAELEWANO NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO.KUTEMBELEA NI BURE NA WAKATI WOWOTE....ENEO LIMEPIMWA IKO ENEO PLAT KABISA...
Ng'ombe jike wawili wanauzwa.Mmoja ana ndama wa miezi miwili (alipandishwa kwa chupa -AI),mwingine ana mimba anatarajiwa kuzaa Februari 2016 alipandishwa kwa (AI) naye.Pia bata mzinga na...
Nauza plot au viwanja Kigamboni dege nyuma ya magorofa ya NSSF viko viwili kimoja ni 30 kwa 26 bei million 7 kingine ni 30 kwa 40 bei million 7 na heka 1 bei million 23 nna shida zangu kibiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.