Habari yenu JF members,
Tunatafuta wateja wa jumla wa samaki wabichi aina ya sato na sangara kutoka Mwanza. Sangara wanaukubwa wa kuanzia 50cm na Sato 25cm.Sangara 1kg pamoja na usafiri Tshs 6000...
wadau ninauza automatic change over switch ya generator yenye dimensions zifuatazo
height:60cm,width:50cm,length:20cm
specification za umeme:
current:125A
voltage:220VAC~380VAC
contactor...
Nyumba ni ya Vyumba vitatu, Kimoja master, Jiko pia lipo.. maji yapo ya kutosha na tank kubwa za maji, maji mpaka ndani, uzio mzuri na parking ya kutosha bei ni 650,000 kwa mwezi, wasiliana nami...
Habari zenu wana jamii forum?
Kwa wale wapenzi wote wa Riwaya za marehemu BEN R. MTOBWA, tayari mzigo wa MTAMBO WA MAUTI & TUTARUDI NA ROHO ZETU? UPO TAYARI.
Kwa sasa, vinapatikana vitabu aina...
Ndugu wateja karibuni kwa tofali BORA NA IMARA za kokoto nyeusi za Msolwa.
Zimetengenezwa kwa FORMULA maalum kuhakiki UBORA, kokoto ngumu, cement bora, maji yasio na chumvi, artificial hardeners...
Ina tyles fresh rangi Safi ndani ya geti dakika tano Kutoka kituoni njoo na kodi miezi Sita na kodi ya mwezi ya udalali. Inapangishwa kwa 130000tsh
Mawasiliano piga 0689315582
Generator FIRMAN shs250000
Radio kubwa SONY shs 250000
14"TV (not flat screen) shs100000
Printer CANON 2 each shs80,000
Printer HP shs120000
Camera SONY 3CCD shs600000
VHS convertor to DVD shs...
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Nyumba inapangishwa ipo Kijitonyama nyuma ya Polisi Mabatini:
Chini ina sebule dining, chumba master, jiko, public toilet, store,
Juu vyumba vitatu kimoja master...
Habari zenu Wakuu.
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Nyumba inapangishwaa ipo Kijitonyama Masjid Qubah nyuma ya Polisi Mabatini:
Chini ina Sebule dining, chumba master, jiko, public toilet,
Juu...
Habari!
Naomba wa msaada wa anaejua wapi naweza kupata au kuchongesha mashine kwa ajili ya kusaga mabunzi ya mahindi ili yatumike kwa chakula cha mifugo anijulishe.
Saloon yakike ikiwa nakilakitu, inauzwa kwabei nzuri sana... bei imejumlishwa na kodi ya frem yamda wa miezi saba
jumla inataka milion5, sifa kubwa saloon ipo zaidi ya miaka 4, hakuna umuhim...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.