Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

ram 4gb hdd 250 core i5 mult cd rom 3g betre 3 hrs op system 64 bits camera size 14.1 wifi bluetooth 450000 0712191251 text, call, or whatsap
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Injini haijaguswa.body iko vizuri.full air condition.power window. Injini cc 1998. Gari ya mwaka 1999. Seat 8. Mawasiliano 0769881984.0715075858.0783085858.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Chumba sebule jiko pamoja na choo chake kinapangishwa maeneo ya savei dakika 7 tokea mlimani city. Bei yake ni sh 180, 000/= inahitajika kodi ya mwaka. Nb hakuna uzio ila kuna usalama na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maeneo; Survey Ofa yangu; 150,000 Mda kuanza; 4 months Kuendelea baada ya; 6 months Pm unipe mchongo
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Habari za jioni Wakuu nahitaji gari lakini bajeti yangu ni Tshs 5.5mil. Suala la namba ni kuanzia B na kuendelea na mwenye gari awe tayari kwa mimi kuja na fundi wangu kuikagua na kuhakiki na...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Nauza till ya mpesa bei maelewano Nipo Mwanza Mawasiliano:0752530592
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu,nahitaji nyumba ya kupanga vyumba viwili maeneo ya bunju B..iwe na maji!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana Bodi Kuna Mashamba yanauzwa Mikese, Morogoro. Yapo 2 km kutoka barabara kuu. Bei: Laki saba (700,000) kwa ekari 1. Tuwasiliane kwenye PM na 0767 836 872 Asante
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari ndugu wanajamii! Kuna kiwanja kipo maeneo ya kivule stendi ya daladala kinauzwa! Umbali kutoka stendi ni mita 60. Ukubwa wa kiwanja ni 23 x 20 ft. Bei sh.6,500,000/= (ukipungukiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa salasala kina ukubwa wa 28M*20M (560SQM) kiko umbali wa 5km kutoka bagamoyo road, umeme upo na kumejengeka tayari asking price 15M
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama unasumbuliwa na tatizo lolote la muonekano, harufu, rangi nk kwenye ngozi na mwili wako kwa ujumla basi sasa ndo muda wako wa kuondokana nalo na kufurahi. Karibu sana tukusaidie kuondoa...
0 Reactions
2 Replies
826 Views
Habari za mchana wakubwa, Moja kwa moja niende kwenye mada.Nahitaji toyota mark x namba yoyote ile hata A kikubwa iwe katika hali nzuri.Bajeti yangu 8million. Asante na karibu kwa kuchangia kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hallo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba kujua bei ya laptop mpya ya Dell RAM 4GB Sh. ngapi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wana Jamii , Ninakodisha magari (pichani) kwa mkataba wa miezi mitatu mitatu. Kwa sasa namalizia mkataba na Kampuni moja mwishoni wa mwezi huu. Magari yanapark Oystebay, Haile Selassie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Benz e190 mbovu naitafuta ili ninyofoe bumper mbele na vitu vingne vidogovidogo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
VIWANJA VIKO KIGAMBONI DEGE 30 kwa 40 na 30 kwa 26 bei million 7 kila kimoja na heka 1 nyuma ya magorofa ya nssf dege bei ni million 23 nashida zangu kibiashara siitaji dalali, Simu 0787321020
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu wa Nchi natafuta side mirror ya landcruaser Prado upande wa kushoto. Ni Prado TX mawasiliano +255788860898 please hata kama imetumika wakuu .Niko Arusha Tanzania,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, nauza mashuka pure cotton mazuri sana na hayachuji, 35kwa pic 1ya 6*6na foronya mbili, na 70,000 kwa mashuka 6*6 na foronya nne. Karibuni sana
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Jina: Samwel Prosper Nyoni Umri: Miaka 10 Shule: Olimpio Mtoto huyu amepotea. Alikuwa anaishi mabibo na huko ndiko alionekana mara ya mwisho. Alikuwa amevaa t-shirt ya kijivu na kaptula ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom