Haya sasa mwisho wa mwaka huu acha kuteseka wala kuwaza kupandishiwa nauli juu kwenda kwenu kula sikukuu au shughuli zozote zile nakodishwa kwa makubaliano tutayofikia. Karibuni sana. 0784791233.
Nauza simu tajwa, ni mpya. Imetumika siku 2 tu, ina.cover, screen protector na chaji yake. Battery yake inakaa 24 hrs when using internet. Kama unahitaji pls 0755783420. Nipo Dar
Salaam wadau...nauza mercedez benz Kompressor..2003 model.Gari haijatumika sana hapa Tz.Hali yake nzuri sana.Bei 16m mgongoro yanakaribishwa.Kwamawasiliano zaidi namba ni 0689900000
Janamani. Mie nimehamia moro.
Napenda kujau wapi nitapata kiwanja cha kujenga nyumba maeneo ya msanvu,kihonda, na sehemu zingine karibu na mjini Morogoro.
Nitataka kiwanja chenye eneo la 30*30...
Kwa Tathmini ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 ni kuwa;
Division One: 9,816 (2.77%)
Division Two: 31,986 (9.01%)
Division Three: 48,127 (13.56%)
Division Four: 240,996 (67.91%)
Division...
Nyumba inauzwa Uhindini Mbeya 280m. Ina maduka manne mbele. Mazungumzo yapo kwenye kupunguziana bei.
wasiliana nami kwa simu namba 0754060350,0719252818
Frame Kubwa (Futi 41 x 15 ) inapangishwa maeneo ya Bamaga Opposite Chuo cha Ustawi wa Jamii. Frame inaangalia Barabara kuu. Frame ilikuwa Studio ya Picha, Ina Patishen 4, Yaani Vyumba Vinne...
Kiwanja kinauzwa Uhindini Mbeya. Ni kiwanja chenye hati, ni kiwanja kikubwa sana. Ni eneo zuri la biashara. kwa mawasiliano wasiliana nami kwa simu namba 0754060350,0716252818.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.