Nahitaji LG TV inch 24

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,369
4,847
Habari wakuu za majukumu ? Natumaini mu wazima .
Kama heading ijielezavyo nahitaji lg tv flat screen inch 24 orijino niko nje ya dar pia nitatoa hadi gharama za kuniletea nilipo niko lindi kwa anayeweza anijulishe tafadhali aweke picha na Taarifa zote muhimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom