Nyumba inapangishwa Uzunguni Mbeya

Nyumba inapangishwa Uzunguni Mbeya

dalaliwangu

Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
36
Reaction score
1
Nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule kubwa, sehemu ya kupaki gari, jiko kubwa, inapangishwa kwa gharama ya Tshs. 650,000/= mazungumzo yapo. kwa mawasiliano wasiliana nami kwa simu namba 0754060350,0716252818.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom