Natafuta ukumbi unaingiza watu 4,000

Mwenye kufahamu ukumbi unaochukua watu 4000 please anipe bei na mahali ulipo sasa hivi

Asante
KARIMJEE
Mwenye kufahamu ukumbi unaochukua watu 4000 please anipe bei na mahali ulipo sasa hivi

Asante
KARIMJEE HALL UPO DAR ES SALAAM, DIAMOND JUBILEE HALL UPO DAR SASA MKUU WEWE UPO MAENEO GANI AU MKOA GANI MAANA HUJATAJA MKOA ULIOPO ILI TUWEZE KUKUTUMIA UO UKUMBI
 
Back
Top Bottom