Msaada wa Clearing agents Nyerere International Airport

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,526
8,791
Wakuu habari? Naomba mwenye kujua kampuni zinazo husika na kufanya clearing kule uwanja wa ndege wa Dar anitumie conatct ninashida sana nao, kuna mzigo nataka kuagiza ila kabla ya kuagzia nataka kupata maelezo kutoka kwao na mzigo unakuja kwa ndege.
 
Murusi Muzee ya Vodka.

Japo hujaomba ushauri ila nakupa tu angalizo. Kuwa makini, Clearing Agents wengi pale siyo waaminifu..
 
Wakuu habari? Naomba mwenye kujua kampuni zinazo husika na kufanya clearing kule uwanja wa ndege wa Dar anitumie conatct ninashida sana nao, kuna mzigo nataka kuagiza ila kabla ya kuagzia nataka kupata maelezo kutoka kwao na mzigo unakuja kwa ndege.
tumia DHLwatakusaidi mkuu pamoja clearing sio ishu sana
 
Back
Top Bottom