dalaliwangu
Member
- Feb 24, 2016
- 36
- 1
Nyumba inapangishwa Uhindini Mbeya dola 800, mazungumzo yapo. Ni nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule kubwa, chumba cha chakula, jiko kubwa. Ni nyumba nzuri sana!! kwa mawasiliano, wasiliana nami kwa simu namba 0754060350,0716252818.